Natafuta marafiki wa ku_chat nao Shytown(Ngokolo)&Nzega(Bukene)

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
47
Reaction score
41
Nipo Geita,masomoni,likizo ipo karibu hvyo natafuta marafiki wa kuchat nao wakati wa likizo walioko Shytown(Ngokolo) na wale wa Nzega(Bukene).

Panapo majaaliwa tunaweza tukakusanyika pia siku ya xmas tukasherehekea kama Jf members,Shytown wing,hali kadhalika na wale wa Nzega siku ya Mwaka mpya kama Jf Members Bukene wing!

Nipo pia Whatsup kwa nambari 0759947397 na Facebook pia kwa jina la Hussein M.Juma.

Kwa pamoja tuchat na tusherehekee,Jf udugu ituletee!
 
hivi kumbe jf nikama fb?

Samahan mkuu,nilimaanisha kwa wale wanaopendelea na huko,ila sikuwa na maana kuwa jf ni kama fb,naiheshimu,naipenda na kuithamini sana Jf! Nisamehewe bure
 
Haya tumekuelewa! Sasa Ngokolo ni kubwa , wewe utakua Ngokolo ipi? Ya kule nyuma ya Buluba Sec. Au Ngokolo matope au inayopakana na Ushirika? Kwa faida ya members waishio hapo
Mimi siishi hapo , bali takribani mikoa yote ya Tz ukiondoa Ruvuma , Iringa na Mtwara mikoa iliyosalia ramani yake nnayo kichwani.
 
Ngokolo yote kwa ujumla mkuu! Halafu pia hongera sana kwa kufahamu mikoa yote hiyo,it's a talent
 
Haya tumekuelewa! Sasa Ngokolo ni kubwa , wewe utakua Ngokolo ipi? Ya kule nyuma ya Buluba Sec. Au Ngokolo matope au inayopakana na Ushirika? Kwa faida ya members waishio hapo
Mimi siishi hapo , bali takribani mikoa yote ya Tz ukiondoa Ruvuma , Iringa na Mtwara mikoa iliyosalia ramani yake nnayo kichwani.

Unanikumbusha shule yangu..
kuna na ngokoro mitumbani pia
 
Haya tumekuelewa! Sasa Ngokolo ni kubwa , wewe utakua Ngokolo ipi? Ya kule nyuma ya Buluba Sec. Au Ngokolo matope au inayopakana na Ushirika? Kwa faida ya members waishio hapo
Mimi siishi hapo , bali takribani mikoa yote ya Tz ukiondoa Ruvuma , Iringa na Mtwara mikoa iliyosalia ramani yake nnayo kichwani.

muulize na sie wa Lubaga hatutakiwi?
 
Back
Top Bottom