Enjoy the rideHuyu ndo mwenyewe sasa....kajileta mwenyewee
Wazee wa gambeHuyu ndo mwenyewe sasa....kajileta mwenyewee
[emoji1787][emoji1787]Sitaki urafiki na walevi
Unatumia kimpumu ili siku nikija huko nikupige offer?Habarini mimi kadefeghee member wa hi platform ila piaa n introvert kiasii..maishaa ya kukaa kipekeee yamenishindaa ..natafutaa marafiki wa kuweza kushare nao mawazo n kujuana especially siku za weekend
Location: Mbeya au songwe.ila m nakaa mbeya
Sex:male
Kazi:ninayo
Pombe :natumia
Kwa ambao wako mikoa nlioitaka n wako interested sio mbaya tukiwasilianaa@karibuni
Hivi unajuaa Mana ya introvert ndgu..Anyway vyotee ulivyoandikaa apo nmevifanya..ila naamini pia kwenye kupata challenge mpyaMwanaume unalalamika upweke?
Kuna vingi vya kufanya kuondokana na upweke mfano kwenda bars we si mlevi, betting sites, viwanja vya mpira, nunua PlayStations, acha kulia lia. Unalalamika upweke we ni mwanamke?
HiGwa kukaja, wewe ni domo zege? Huko ulevini hukutani na marafiki?nakuja kukupa company
Hi mkuu, been a while umepotelea wapi?