Natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo

Natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo

kadefeghe

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
456
Reaction score
668
Habarini mimi kadefeghee member wa hi platform ila piaa n introvert kiasii..maishaa ya kukaa kipekeee yamenishindaa.

Natafutaa marafiki wa kuweza kushare nao mawazo n kujuana especially siku za weekend
Location: Mbeya au songwe.ila m nakaa mbeya
Sex:male
Kazi:ninayo
Pombe :natumia
Kwa ambao wako mikoa nlioitaka n wako interested sio mbaya tukiwasilianaa@karibuni
 
Mwanaume unalalamika upweke?

Kuna vingi vya kufanya kuondokana na upweke mfano kwenda bars we si mlevi, betting sites, viwanja vya mpira, nunua PlayStations, acha kulia lia. Unalalamika upweke we ni mwanamke?
 
Habarini mimi kadefeghee member wa hi platform ila piaa n introvert kiasii..maishaa ya kukaa kipekeee yamenishindaa ..natafutaa marafiki wa kuweza kushare nao mawazo n kujuana especially siku za weekend
Location: Mbeya au songwe.ila m nakaa mbeya
Sex:male
Kazi:ninayo
Pombe :natumia
Kwa ambao wako mikoa nlioitaka n wako interested sio mbaya tukiwasilianaa@karibuni
Unatumia kimpumu ili siku nikija huko nikupige offer?
 
Mwanaume unalalamika upweke?

Kuna vingi vya kufanya kuondokana na upweke mfano kwenda bars we si mlevi, betting sites, viwanja vya mpira, nunua PlayStations, acha kulia lia. Unalalamika upweke we ni mwanamke?
Hivi unajuaa Mana ya introvert ndgu..Anyway vyotee ulivyoandikaa apo nmevifanya..ila naamini pia kwenye kupata challenge mpya
 
Gwa kukaja, wewe ni domo zege? Huko ulevini hukutani na marafiki?nakuja kukupa company
 
Back
Top Bottom