kadefeghe
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 456
- 668
Habarini mimi kadefeghee member wa hi platform ila piaa n introvert kiasii..maishaa ya kukaa kipekeee yamenishindaa.
Natafutaa marafiki wa kuweza kushare nao mawazo n kujuana especially siku za weekend
Location: Mbeya au songwe.ila m nakaa mbeya
Sex:male
Kazi:ninayo
Pombe :natumia
Kwa ambao wako mikoa nlioitaka n wako interested sio mbaya tukiwasilianaa@karibuni