Natafuta marafiki wafanyabiashara

Hata hyo kuchimba usifikiri ni kazi ya lelemama kwamba unalala nyumbani na kula chipsi kuku inataka mtu wa kujitoa sana uwe kamanda kwelikweli.
mimi niko naifanya mkuu wa kazi wala sihadithiwi... na kweli mwanaume wa dar hawezi haya mambo....maana unakuta mtu ana malengo ya kupata lets say 100M kisha anafanya kazi ya kunyoa saloon local tuu uswahilini ni ngumu... lazma ujitoe na vitu risky lakini vina return kubwa..

asante..
 
Hata hyo kuchimba usifikiri ni kazi ya lelemama kwamba unalala nyumbani na kula chipsi kuku inataka mtu wa kujitoa sana uwe kamanda kwelikweli.


Kule hakuna kuremba...hakuna classy...yaan ni vuluvulu tu ..ila return si haba
 
Mkuu unataka kuniambia ukianza kuchimba Sasa hivi hayo madini ya kupata milioni 100 unakuja kuyapata mwaka gani?au ndio ile watu wanafanya kwa matumaini tu miaka inakatika.
 
Mkuu unataka kuniambia ukianza kuchimba Sasa hivi hayo madini ya kupata milioni 100 unakuja kuyapata mwaka gani?au ndio ile watu wanafanya kwa matumaini tu miaka inakatika.


Hahahahahabah....unaweza anza leo tar 17 ukawekeza let say 3m..after 14dys ukalamba 40m🤗🤗.. n vice versa
 
Mkuu unataka kuniambia ukianza kuchimba Sasa hivi hayo madini ya kupata milioni 100 unakuja kuyapata mwaka gani?au ndio ile watu wanafanya kwa matumaini tu miaka inakatika.
hahahaa unakuja sasa kwenye point..... upambanaji wako tuu mkuu wako watu wameingia tuuu wamewekeza kiasi na wamework hard kwenye mawe mazuri..... wamepokelewa na kilo kadhaa sasa hiyo milioni 100 its nothing huko magharibi nenda ukajionee unadhani wasukuma jeuri wanatoa wapi..
 
Mtafute Biteko
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sidhani mkuu,ingekuwa hvyo watu wangejazana mgodi usingetosha.
kwani unadhani kuna watu kidogo..... hujawahi kuona sehemu pakiwaka???... watu wanarundikana wengine wanalala chini ya miti tuu na ukijilaza usiku unashtuka uko na timu ya watu na wao wameunga hapohapo....ila ni survival for the fittest... wanabaki wenye nguvu tu.... wale dhaifu wanapisha kuwaachia wabishi watawale...
 
Yaani nikitumia logic naona hainiingii akilini.Ingekuwa hvyo unavyosema wasukuma wote wangeacha kuvua samaki wakajazana mgodini,yaani biashara zingine zisingefanyika.
Unajua Mimi Kuna kipindi niliishi Arusha Sasa nikaanza kuwahoji wenyeji wa kule kuhusu kazi ya madini.
Walichonijibu nikaishiwa pozi,waliniambia kwamba kwa wale wamiliki wa mgodi anawaweka team ya vibarua na anakuwa na kazi ya kuwalisha chakula kila siku kwa muda wa miaka hata mitano wanachimba tu na wanaweza wasiambulie kitu.
Na wale Wana Apollo wanaacha miji yao kwa miaka hata 20 anaambulia hela ndogondogo za kula tu.
 


hawez kukuelewa✌✌✌...aje aone tunapolala kina siye
 
tatizo ni elimu mkuu... usifananishe gold na tanzanite.... dhahabu huwezi kuta eti mtu anachimba miaka 20 hajaona.... hiyo ni nje nje... sema tanzanite wakipata wamepata.... once and for all.... ila gold hata ukipata point mbili kila siku hulali njaa... af utaratibu ni tofauti kabisa... kingine hayo ni mgawanyo tu wa rizki haiwezekani dunia nzima ikafanya kitu cha aina moja.... as long as wanaishi.... inatosha..
 
Wewe hyo kazi umeianza lini?na umepata mamilioni mangapi kupitia uchimbaji wa dhahabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…