Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
mimi niko naifanya mkuu wa kazi wala sihadithiwi... na kweli mwanaume wa dar hawezi haya mambo....maana unakuta mtu ana malengo ya kupata lets say 100M kisha anafanya kazi ya kunyoa saloon local tuu uswahilini ni ngumu... lazma ujitoe na vitu risky lakini vina return kubwa..Hata hyo kuchimba usifikiri ni kazi ya lelemama kwamba unalala nyumbani na kula chipsi kuku inataka mtu wa kujitoa sana uwe kamanda kwelikweli.
asante..