Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
-
- #201
Itabid uwe karibu na mm uwe unafurah mara kwa mara uongeze siku za kuishi.
hahahaa huu sasa ni umbea....nikitaja nitakuwa nimetambulisha ID maana mm ni mtu mkubwa tu kwenye jamii kidding! hahahahahaa...Wewe hyo kazi umeianza lini?na umepata mamilioni mangapi kupitia uchimbaji wa dhahabu?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hahahaa huu sasa ni umbea....nikitaja nitakuwa nimetambulisha ID maana mm ni mtu mkubwa tu kwenye jamii kidding! hahahahahaa...
hahahaa mm sio msukuma bhana mkuu......ila ngj kdg ntakuonesha mzigo we endelea kujifunza..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Watu wazito Kama ww wapo wengi mkuu hasa hasa huko usukumani maana huko kila mtu huwa anavimba.
Kwa hyo hii ndio pure gold?hahahaa mm sio msukuma bhana mkuu......ila ngj kdg ntakuonesha mzigo we endelea kujifunza..
hahahaa we unaona ni vipande vya sabuni eeh... habari ndo hiyo mkuu..Kwa hyo hii ndio pure gold?
Utaitofautisha vipi na dhahabu feki?hahahaa we unaona ni vipande vya sabuni eeh... habari ndo hiyo mkuu..
ziko measures nyingi....kadri unavojifunza kazi utajua..... ila inatofautiana na pirate gold.... japo kama hauko makini unaingia vizuri tu na unainunua kwa milioni 20 kama ulivyomtisha mwenzio pale juu..Utaitofautisha vipi na dhahabu feki?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ziko measures nyingi....kadri unavojifunza kazi utajua..... ila inatofautiana na pirate gold.... japo kama hauko makini unaingia vizuri tu na unainunua kwa milioni 20 kama ulivyomtisha mwenzio pale juu..
ni sawa... inategemea lakini na malengo uliyojiwekea.... na inategemea dhahabu ni ya vikole au ya mwamba au ya vumbi n. k n. k......kama ni hiyo ya tatu inayohitaji kusaga jiwe ndo uipate ndani yake basi unaandaa budget ya crusher.... au kama ni fogo kama wewe unavuta ball mill moja ya maana... kisha unakuwa na mashine ya kuiendesha hiyo crusher yako kama ni jiang dong ndo naprefer zaidi... ya horsepower 30.... single piston kwa crusher ya mifuko 10 kuja chini... (uoni wangu).... kisha uandae mwalo.... uandae maduara kama utanunua share ukauziwa ambapo hakuna mzigo ni juu yako ndo kukaribishwa mgodini.... na ni gharama.... haya ununue gololi za MM80 MM60 n. k za kuvunja na kulainisha pia.... haya bado mikanda ya kuzungusha pulley.....naprefer PIX na ni ghali.... na mtaji cash mkononi..... mengine utayajua hukohuko.... goodluck..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa ili mtu awe mfanyabiashara wa madini mtaji unaanzia kiasi gani
Hapo umeelezea materials na vifaa lkn hujaelezea kiwango Cha pesa kwa ajili ya mtajini sawa... inategemea lakini na malengo uliyojiwekea.... na inategemea dhahabu ni ya vikole au ya mwamba au ya vumbi n. k n. k......kama ni hiyo ya tatu inayohitaji kusaga jiwe ndo uipate ndani yake basi unaandaa budget ya crusher.... au kama ni fogo kama wewe unavuta ball mill moja ya maana... kisha unakuwa na mashine ya kuiendesha hiyo crusher yako kama ni jiang dong ndo naprefer zaidi... ya horsepower 30.... single piston kwa crusher ya mifuko 10 kuja chini... (uoni wangu).... kisha uandae mwalo.... uandae maduara kama utanunua share ukauziwa ambapo hakuna mzigo ni juu yako ndo kukaribishwa mgodini.... na ni gharama.... haya ununue gololi za MM80 MM60 n. k za kuvunja na kulainisha pia.... haya bado mikanda ya kuzungusha pulley.....naprefer PIX na ni ghali.... na mtaji cash mkononi..... mengine utayajua hukohuko.... goodluck..
vifaa ndo mtaji mkuu.... kisha pesa nimesema inategemea una malengo ya kupata return ya kiasi gani.... na bei ya share kwenye maduara inavary sehemu na sehemu...ila la msingi usije na njaa huku.... na pia uje na akili iliyo smart....na zaidi uje na utata... ukiwa mzembe mzembe watakuingiza kwenye crusher upelekwe plant hahah...Hapo umeelezea materials na vifaa lkn hujaelezea kiwango Cha pesa kwa ajili ya mtaji
+255772002300Kama una mawasiliano naye niunge naye
Labda ukauzie nje,lakini hapa hapana,plus TRA ,zamani gold ilikuwa kwenye black market Tz that why faida ilikuwa kubwamkuu gold ni dollar..... lazma upate soko milele.. . huwezi kosa pa kuexchange dollar.....
shukran mkuu..Labda ukauzie nje,lakini hapa hapana,plus TRA ,zamani gold ilikuwa kwenye black market Tz that why faida ilikuwa kubwa
hiyo vice versa ndio inaweza kumeza kile ki 3M kangu,nikarudi ulyampiti kukaa na bibi kumwambia NIMEKOMA? au vice versa hiyo ni ya kupata faida kdg ila haitoathiri kamtaji kangu??Hahahahahabah....unaweza anza leo tar 17 ukawekeza let say 3m..after 14dys ukalamba 40m🤗🤗.. n vice versa
inawezekana mkuu..watz tuna sifa ya uchoyo PENYE hela hata siku moja hutoskia mtu akipasema....jaribu kumfata rafiki ako yeyote mfanyabiashara hata awe anauza duka,maziwa,nyanya,nk Muulize "biashara yako vipi ndugu yangu unaionaje?"..jibu atalokupa "hivyo hivyo ndugu yangu,shida tu hizi hata hamna kitu zaidi ya kukomaaa" ila pamoja na jibu lake hilo tangu umjue huu ni mwaka wa 5 anaifanya hyo biashara yake ya duka,mboga,vinywaji,nk na ana majumba kbao.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sidhani mkuu,ingekuwa hvyo watu wangejazana mgodi usingetosha.
Hahah na huko kwenye madini lazma tukukule tu sio kwa utamu huo aisee! Jamaa ajiandae kutumia Panado za Kenya. Mi nimeamua kubetia shamba awamu hii...wacha nikivuna tutaongea vyema mamiiHahahaha...jaman.huu unyanyapaa utaisha lini...mm pub siwez bwana...msukuma yule ataniniga shingo..we njoo tuunge tela.utakuja nishukuru mwaka ujao
mkuu Extrovert karibu huku tubadilishane uzoefu..
hmm...Hahah na huko kwenye madini lazma tukukule tu sio kwa utamu huo aisee! Jamaa ajiandae kutumia Panado za Kenya. Mi nimeamua kubetia shamba awamu hii...wacha nikivuna tutaongea vyema mamii