Natafuta marafiki wafanyabiashara

Natafuta marafiki wafanyabiashara

hahahaa huu sasa ni umbea....nikitaja nitakuwa nimetambulisha ID maana mm ni mtu mkubwa tu kwenye jamii kidding! hahahahahaa...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Watu wazito Kama ww wapo wengi mkuu hasa hasa huko usukumani maana huko kila mtu huwa anavimba.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Watu wazito Kama ww wapo wengi mkuu hasa hasa huko usukumani maana huko kila mtu huwa anavimba.
hahahaa mm sio msukuma bhana mkuu......ila ngj kdg ntakuonesha mzigo we endelea kujifunza..
 
Attachments

  • GBWA-20181214093106.jpg
    GBWA-20181214093106.jpg
    28.6 KB · Views: 77
Utaitofautisha vipi na dhahabu feki?
ziko measures nyingi....kadri unavojifunza kazi utajua..... ila inatofautiana na pirate gold.... japo kama hauko makini unaingia vizuri tu na unainunua kwa milioni 20 kama ulivyomtisha mwenzio pale juu..
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa ili mtu awe mfanyabiashara wa madini mtaji unaanzia kiasi gani
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa ili mtu awe mfanyabiashara wa madini mtaji unaanzia kiasi gani
ni sawa... inategemea lakini na malengo uliyojiwekea.... na inategemea dhahabu ni ya vikole au ya mwamba au ya vumbi n. k n. k......kama ni hiyo ya tatu inayohitaji kusaga jiwe ndo uipate ndani yake basi unaandaa budget ya crusher.... au kama ni fogo kama wewe unavuta ball mill moja ya maana... kisha unakuwa na mashine ya kuiendesha hiyo crusher yako kama ni jiang dong ndo naprefer zaidi... ya horsepower 30.... single piston kwa crusher ya mifuko 10 kuja chini... (uoni wangu).... kisha uandae mwalo.... uandae maduara kama utanunua share ukauziwa ambapo hakuna mzigo ni juu yako ndo kukaribishwa mgodini.... na ni gharama.... haya ununue gololi za MM80 MM60 n. k za kuvunja na kulainisha pia.... haya bado mikanda ya kuzungusha pulley.....naprefer PIX na ni ghali.... na mtaji cash mkononi..... mengine utayajua hukohuko.... goodluck..
 
Hapo umeelezea materials na vifaa lkn hujaelezea kiwango Cha pesa kwa ajili ya mtaji
 
Hapo umeelezea materials na vifaa lkn hujaelezea kiwango Cha pesa kwa ajili ya mtaji
vifaa ndo mtaji mkuu.... kisha pesa nimesema inategemea una malengo ya kupata return ya kiasi gani.... na bei ya share kwenye maduara inavary sehemu na sehemu...ila la msingi usije na njaa huku.... na pia uje na akili iliyo smart....na zaidi uje na utata... ukiwa mzembe mzembe watakuingiza kwenye crusher upelekwe plant hahah...

asante..
 
mkuu gold ni dollar..... lazma upate soko milele.. . huwezi kosa pa kuexchange dollar.....
Labda ukauzie nje,lakini hapa hapana,plus TRA ,zamani gold ilikuwa kwenye black market Tz that why faida ilikuwa kubwa
 
Hahahahahabah....unaweza anza leo tar 17 ukawekeza let say 3m..after 14dys ukalamba 40m🤗🤗.. n vice versa
hiyo vice versa ndio inaweza kumeza kile ki 3M kangu,nikarudi ulyampiti kukaa na bibi kumwambia NIMEKOMA? au vice versa hiyo ni ya kupata faida kdg ila haitoathiri kamtaji kangu??
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sidhani mkuu,ingekuwa hvyo watu wangejazana mgodi usingetosha.
inawezekana mkuu..watz tuna sifa ya uchoyo PENYE hela hata siku moja hutoskia mtu akipasema....jaribu kumfata rafiki ako yeyote mfanyabiashara hata awe anauza duka,maziwa,nyanya,nk Muulize "biashara yako vipi ndugu yangu unaionaje?"..jibu atalokupa "hivyo hivyo ndugu yangu,shida tu hizi hata hamna kitu zaidi ya kukomaaa" ila pamoja na jibu lake hilo tangu umjue huu ni mwaka wa 5 anaifanya hyo biashara yake ya duka,mboga,vinywaji,nk na ana majumba kbao.

Hata siku moja hutosikia mtu anakujibu..ndugu yangu huku kuna pesa bwana,au huku napiga hela yani hutokaa usikie mtu akikupa huo moyo ktk 10 utampata m1..so anachokisema manengelo ni la kumshukuru maana anatufungua akili wapi pesa ilipo,wengine hata kujisema wanafanya hii kazi hawasemi maana wanajua hela ipo na ukiwauliza watachokuelezea ni Changamoto tuuuu hutopata hata m1 wakukuelezea faida.

Usiogope..TRY it lets TRY Najitoseamo mimi.
 
Hahahaha...jaman.huu unyanyapaa utaisha lini...mm pub siwez bwana...msukuma yule ataniniga shingo..we njoo tuunge tela.utakuja nishukuru mwaka ujao
Hahah na huko kwenye madini lazma tukukule tu sio kwa utamu huo aisee! Jamaa ajiandae kutumia Panado za Kenya. Mi nimeamua kubetia shamba awamu hii...wacha nikivuna tutaongea vyema mamii
 
Back
Top Bottom