Natafuta marafiki wafanyabiashara

Kwa bei ya jioni hii hapo nairobi gram moja ya pure gold ni 39 usd,kiasi kama ksh 42000 au kwa pesa za kibongo kitu kama 85000 per gram,
eastleigh kuna gold market,nadhani kwa wasomali etc,
unaweza kutest namba

 
manengelo, ukiweza kaa andika uzi wako vizuri. Weka uchanganuzi wa nini unachohitaji kwenye hiyo network, weka summary ya hatua uliyopo wewe kwenye hii business nk.

Hii itasaidia watu makini kujua aina ya mtu wanayetakiwa kuingia naye kwenye huo uhusiano wa kibiashara. Kwamba una kitu cha ku-offer? Au utakuwa mpokeaji tu?

Otherwise hapa utapata watu wa jokes tu, na walio serious hawaoni kama uko serious.
 
Hivi kumbe dhahabu grm 1 ni pesa ndogo namna hiyo!??? sa hapo mpaka uje upate m10 si utapigika mno!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…