Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
- Thread starter
- #121
Tupo
😊😊Nakumbuka uliwah niambia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo
Yeah ndo ishu zangu ila me nimebase kwenye tanzanite na ruby ila kwa saivi tanzanite kwa sana[emoji4][emoji4]Nakumbuka uliwah niambia..
Hahahaha ooh kumbe kuna ishu unaitaka?
Yeah ndo ishu zangu ila me nimebase kwenye tanzanite na ruby ila kwa saivi tanzanite kwa sana
Uzi una comment nyingi sababu ni mwanamke..na i bet walio serious na wenye dhamira ya dhati na sio uchu ni 21%
Ni broker au mchimbaji!? hela ya mawe tamu asee hawezi kuja kirahisinna ndgu yangu huko amezamia jaman hatak kurudi[emoji56][emoji56]
unaweza kabisa maana kuna ambao hawana hata mtaji ila ana uzoefu na madini so anasubiri mtu anaunue ndo ampe kazi na yy ya kwenda kuuza.Jamanii kama una tumilioni moja unaweza kufanya hii biashara [emoji12][emoji12]
Sawa mkuu Shukran.unaweza kabisa maana kuna ambao hawana hata mtaji ila ana uzoefu na madini so anasubiri mtu anaunue ndo ampe kazi na yy ya kwenda kuuza.
Ni broker au mchimbaji!? hela ya mawe tamu asee hawezi kuja kirahisi
Hivi kumbe dhahabu grm 1 ni pesa ndogo namna hiyo!??? sa hapo mpaka uje upate m10 si utapigika mno!!!Kwa bei ya jioni hii hapo nairobi gram moja ya pure gold ni 39 usd,kiasi kama ksh 42000 au kwa pesa za kibongo kitu kama 85000 per gram,
eastleigh kuna gold market,nadhani kwa wasomali etc,
unaweza kutest namba
Gold Selling, Nairobi - phone number, website, email address
Gold Selling, Nairobi. Find all details and contact information for Gold Selling, Nairobi,nairobi.www.kenyaplex.com
karibuSawa mkuu Shukran.
Yani ukionja hela ya madini kutoka kwenye madini itakua shughuli sana.hahaa ni shidaa ni mchimbaj. hhhaa heka ua madini km ina kalaana
Hivi kumbe dhahabu grm 1 ni pesa ndogo namna hiyo!??? sa hapo mpaka uje upate m10 si utapigika mno!!!
naomba ukweli maana sina experience na dhahabusio kweli mzee baba
naomba ukweli maana sina experience na dhahabu
Ni rahisi zaidi ya hapo tena!Ni rahisi ...