Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Em niambiee maana yako tafadhali😎Hahhaa najua...labda iwe na maana nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em niambiee maana yako tafadhali😎Hahhaa najua...labda iwe na maana nyingine
Em niambiee maana yako tafadhali😎
Oh yeah,,,🤓Ni unit...area ya kufanyia production za kusaga mawe ya dhahabu
Njoo imbox Dada, Mimi nlikua Blocker wa Dhahabu. Niliacha na kwenda kusoma lakn kwa sasa nipo tayar kwa kuanza kaz. Njoo tuongee mengi na kubadilishana mawazo
Oh yeah,,,🤓
Mkuu nauzia huku kwetu kwa mtogole wewe si upo mkoaHahahaha, safi Sana , uhakika wa kuuza kila siku, naomba nije PM napenda sana mboga za majani
Hahahaha, haina tatizo Mkuu. muhimu nipate mboga za majaniMkuu nauzia huku kwetu kwa mtogole wewe si upo mkoa
Ukishauza madini naomba niwe bodigadi wako maana mijambazi siku hizi haina chama.Hahaha ww tena...hahaha..mradi uwepo huko...
Sawa mkuu unambie niwe nakutumia kwa njia ya posta 😀😀😀Hahahaha, haina tatizo Mkuu. muhimu nipate mboga za majani
Umebobea kwenye biashara ya aina gani ya madini ?Mimi ni mwanamke mjasiriamali.
Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).
Iwe ni kota au anamiliki eneo la uchimbaji au awe ana mwalo nitafurahi pia..!
Mimi pia niko kwenye biashara hii
ya madini.
Nahitaji aliye serious tusaidiane na kubadilishana mawazo pia...iwe mwanamke au mwanamume!
Hahahaha, si anavyo vifaa vya kupimia? Utafanya hii biashara kisha hujui mawe yenyewe?Ukishauza madini naomba niwe bodigadi wako maana mijambazi siku hizi haina chama.
Kua makini tu usije uziwa chupa.
Hahahaha,aseeSawa mkuu unambie niwe nakutumia kwa njia ya posta [emoji3][emoji3][emoji3]
Umebobea kwenye biashara ya aina gani ya madini ?
Ova
Ukishauza madini naomba niwe bodigadi wako maana mijambazi siku hizi haina chama.
Kua makini tu usije uziwa chupa.
Mada inahusu haya mambo sio? Nawatakia siku njema View attachment 1098472View attachment 1098473