Natafuta marafiki wafanyabiashara

Natafuta marafiki wafanyabiashara

Mimi ni mwanamke mjasiriamali.

Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).

Iwe ni kota au anamiliki eneo la uchimbaji au awe ana mwalo nitafurahi pia..!

Mimi pia niko kwenye biashara hii
ya madini.

Nahitaji aliye serious tusaidiane na kubadilishana mawazo pia...iwe mwanamke au mwanamume!
Umebobea kwenye biashara ya aina gani ya madini ?

Ova
 
Back
Top Bottom