Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Kaka hili janga ndo limenifanya hivi.Asee
Karibu tuwe marafiki
Mkuu mambo ya maana ni kama yapiNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
[emoji23]Mkuu mambo ya maana ni kama yapi
Wengine kwao video za akina Amber Rutty ndio mambo ya maana kwao
Kaka hili janga ndo limenifanya hivi.
Usinifikirie vibaya
Hatua nzuriNitumie namba za simu.
Si lile la juzi.Janga gani hilo tena?
Jana ulikuwa unaponda kuwa marafiko hawana maana leo unatafuta marafiki tena..?Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Si lile la juzi.
Nitumie namba za simu.
Jana ulikuwa unaponda kuwa marafiko hawana maana leo unatafuta marafiki tena..?
Acheni tu, upweke ni kitu kingine hatari sana, wenye miaka 25 to 30 inatokea sana hii kitu, inanisumbua mno, unashika hiki hakishikiki natamani kila siku iwe siku ya kazi, usiku ndio changamoto sana
Mtoa mada nakuelewa sana.