Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!

Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.

Ni hayo tu

Aggy
Jana ulikuwa unaponda kuwa marafiko hawana maana leo unatafuta marafiki tena..?
 
[emoji4] unatesa kwelikweli
Acheni tu, upweke ni kitu kingine hatari sana, wenye miaka 25 to 30 inatokea sana hii kitu, inanisumbua mno, unashika hiki hakishikiki natamani kila siku iwe siku ya kazi, usiku ndio changamoto sana

Mtoa mada nakuelewa sana.
 
Back
Top Bottom