Natafuta marafiki

Acheni tu, upweke ni kitu kingine hatari sana, wenye miaka 25 to 30 inatokea sana hii kitu, inanisumbua mno, unashika hiki hakishikiki natamani kila siku iwe siku ya kazi, usiku ndio changamoto sana

Mtoa mada nakuelewa sana.
mbona sehemu za kujichanganya baada ya kaxi ziko nyingi,tatizo letu wengi hatuna hobbies/extracurricular activities,tunajua kutafuta hela tu,ukiwa na hobbies ama vitu vya ziada vya kufanya,iwe michezo,sanaa etc inakuwa ngumu kutokuea na marafiki wa kukupa company
 

Nakubaliana na wewe kabisaaa, malezi na mazingira yanafanya watu kua wapweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…