Harry singo
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 352
- 438
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana mpambanaji niliweza kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza peanut butter ila nilikumbwa na matatizo hivyo biashara ikasimama.
Natafuta mtu aliye serious mkoa wa arusha ili tufungue upya hii biashara. Mimi nina mashine ya kusaga kinachohitajika ni mtaji wa kununuaa mzigo. Na operational costs kama kulipia pango.umeme.maji.na vitu vidoho vidogo vinavyohitajika.
Kwa kuanzia kama kuna mtu ana laki nane atapendezwa tushirikiane. Ama kama kuna mtu ataguswa kunikopesha hata ikiwa ni kwa riba ili tupunguze huu umaskini kwa vijana.
Namba yangu ni 0684646575