Natafuta mbia wa kushirkiana naye katika biashara ya kusindika karanga peanut butter

Harry singo

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
352
Reaction score
438
Habari wanajamvi,

Mimi ni kijana mpambanaji niliweza kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza peanut butter ila nilikumbwa na matatizo hivyo biashara ikasimama.

Natafuta mtu aliye serious mkoa wa arusha ili tufungue upya hii biashara. Mimi nina mashine ya kusaga kinachohitajika ni mtaji wa kununuaa mzigo. Na operational costs kama kulipia pango.umeme.maji.na vitu vidoho vidogo vinavyohitajika.

Kwa kuanzia kama kuna mtu ana laki nane atapendezwa tushirikiane. Ama kama kuna mtu ataguswa kunikopesha hata ikiwa ni kwa riba ili tupunguze huu umaskini kwa vijana.

Namba yangu ni 0684646575
 
Return on Investment.

Wakati unafanya kabla haijasimama ulikuwa na uwezo wa kuuza / kutengeneza mzigo wa kiasi gani (yaani unao wateja wa kuchukua mzigo wa kiasi gani) na kwa bei gani na faida gani?

Sio kwamba nataka tujiunge ila majibu ya maswali hayo naweza nikakupa mbinu ambayo huenda usihitaji kuingia partnership na mtu (unless huyo mtu ana masoko) Partnership hususan bongo inakuja na baggage's zake.
 
Nilikua na uwezo wa kuuza katoni apr 21 kwa wiki mana ni kiwanda kidogo. Katika harakati za kukua ndio nikasimama na vitu nikarudisha nyumbani. Nnilikua napata faida ya takribani 120000 kwa wiki. Mana nilikua na siku tatu za production na siku tatu za sales.
 
Sasa mkuu kuliko kuuza business yako kwa laki nane (wakati unao uwezo wa kupata zaidi ya hiyo pesa utakayopewa kwenye miezi 2) hio itakuwa sio busara kopa kwa watu hata kama hauna saccos / vicoba n.k. tafuta hata ndugu akukopee kwa riba.

Ila kabla ya yote ni uhakika wa soko (Market is everything) na kama soko tayari unalo basi upo vema.

Na kama unahitaji nguvu kazi utapata mtu wa kukusaidia tu labor bongo bado ni cheap.
 
Sasa mkuu kuliko kuuza business yako kwa laki nane (wakati unao uwezo wa kupata zaidi ya hiyo pesa utakayopewa kwenye miezi 2) hio itakuwa sio busara kopa kwa watu hata kama hauna saccos / vicoba n.k. tafuta hata ndugu akukopee kwa riba....

Ila kabla ya yote ni uhakika wa soko (Market is everything) na kama soko tayari unalo basi upo vema....

Na kama unahitaji nguvu kazi utapata mtu wa kukusaidia tu labor bongo bado ni cheap
ningekuwa na pa kukopa ningeenda. Halafu nimeomba mbia sio kwamba nauza biashara. Tunashirikiana mi nagawa equity
 
Peunut Batter Brand naona kama zinakuwa nyingi sana sokoni kwa sasa kitu kinacho pelekea Market Share kuwa chini sana
Lakini huwezi acha kuvua kwa vile wavuvi ni wengi. We angalia sinza palivyojaa maduka ya nguo lakini wote wanamake life.
 
Peunut Batter Brand naona kama zinakuwa nyingi sana sokoni kwa sasa kitu kinacho pelekea Market Share kuwa chini sana
Hio sindio kawaida ya wabongo😂 biashara ikiwa na easy entry barriers kila mtu ana copy. Ni ngumu kumudu competitive advantage labda uwe na distribution outlets nyingi na usiwe overpriced.
 
Kazi kumkichwa katika brand name, packaging, na features zitakazo mvutia mteja zaidi ya competitors wako.
Peunut Batter Brand naona kama zinakuwa nyingi sana sokoni kwa sasa kitu kinacho pelekea Market Share kuwa chini sana
 
ningekuwa na pa kukopa ningeenda. Halafu nimeomba mbia sio kwamba nauza biashara. Tunashirikiana mi nagawa equity
To-may-to , Tomahto, po-TAh-to, potato, kugawa shares ndio uuzaji wenyewe, kwa ushauri wangu unless otherwise unapata partner anayekuja na zaidi ya mtaji (mtaji ambao ni peanut....) ni very expensive way ya kuondoka katika hii shida ndogo uliyopata ukizingatia tayari una masoko.... (usichoke tafuta mkopo)
 
unamlazimisha awe mbinafsi, mwisho wa siku hapati mkopo biashara inakufa. Hata ile 50% ambayo unaanimi ni ndogo haipati. Ubinfsi kwenye biashara ndio mara nyingi huua, hutaki kushirikiana na mtu unataka kila kitu ufanye wewe.
 
Unajua maana ya kufanya kila kitu wewe ? Mtu anapoweka seed money haimaanishi na huko mbele ataendelea kufanya hivyo....,huenda akakupa Pesa ambazo sababu wewe una soko, talent na ndio unafanya production na kuendelea kufanya kila kitu mwisho wa siku ukawa kama mwajiriwa wala hauna say tena kwenye biashara yako...

Kitu anachokupa unaweza ukakipata pengine na kwa gharama nafuu; kuliko kama huyo mtu angekuwa anakuja na ujuzi, soko au kuboresha production yako...., In short monetary partner kwa pesa ndogo ambayo unaweza kupata bank au kupewa kama una letter of credit bora katafute bank na sio kuuza share zako; ila kama mbia anakuja na ziada, zaidi ya pesa hapo sawa
 
Uko sahihi kabisa...
 
Back
Top Bottom