G - The Apostle
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 599
- 1,125
Yes karibuNimesoma unatafuta mbia
Biashara za Sasa zinaongozwa na Mikataba na watu mkiwa Rasmi hakuna ujanja ujanja.Nakutakia heri ila jinsi kibongobongo kuaminiana ndiyo ishu
Changamkia fursa hiyo mamaaaa.Hongera sana mkuu na kila lenye kheri!
Karibu Ms. AntonniaHongera sana mkuu na kila lenye kheri!
Umeona eeehhh!!
nikija kununua, utaniuzia? kwa bei gani? using'ang'anie kuwekeza wakati unadunduliza pesa.Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nina eneo kubwa zaidi ya Ekari 5 kando mwa Barabara.
Mwendelezo wa Awali: Maji tayari yapo, na baadhi ya miundombinu.
Eneo: Mkoa wa Rukwa.
Hali ya Biashara: Mwingiliano mkubwa wa watu na Magari ya kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Mikoa ya Katavi, kigoma, Mbeya, Tabora, Bandari uelekeo wa Ziwa Tanganyika.
Karibu PM kwa serious investor.
Sawa Mkuu, Asante kwa ushauri, lakini pia any interested party anaweza kuwasiliana nami kwa picha na uthibitisho mwingine zaidi including ownership documents.Uwekezaji unao ongelea ni mkubwa, unaweza kugharimu 500m+ Jitahidi kuweka picha nyingi ili kuweza kuwashawishi wenye mitaji.
Mkuu kumbuka nimeshaweka baadhi ya miundombinu, Sina maana ni vacant land. Baadhi ya miundombinu nishaifanya mwenyewe.Mi niweke milion 500 wewe uweke kiwanja au au tunagawana 250@ sina maana kuwa ninazo nawaza kwa niaba ya mwenye nazo
[emoji3][emoji1][emoji3] Karibu tuzungumze, japo nishaanza sehemu ya uwekezaji, Sina maana kwamba mtaji wote 100% utoke kwa mbia.nikija kununua, utaniuzia? kwa bei gani? using'ang'anie kuwekeza wakati unadunduliza pesa.
Hahahaha mkuu, hao wanaingia mipakataba na nchi Ila Kama watahitaji , nawakaribisha.Kwa nn usiwasiliane na dp world mkuu muingie mkataba wa awali kbsa wajenge bandari kavu hapo kaengeze
Asante MkuuTungekua wahindi sawa ila sio wabongo kuaminiana hakupo,kila la kheri