Natafuta Mbia wa Kuwekeza kwenye Hotel na; au Kituo Cha Mafuta

Natafuta Mbia wa Kuwekeza kwenye Hotel na; au Kituo Cha Mafuta

G - The Apostle

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2023
Posts
599
Reaction score
1,125
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nina eneo kubwa zaidi ya Ekari 5 kando mwa Barabara.

Mwendelezo wa Awali: Maji tayari yapo, na baadhi ya miundombinu.

Eneo: Mkoa wa Rukwa.

Hali ya Biashara: Mwingiliano mkubwa wa watu na Magari ya kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Mikoa ya Katavi, kigoma, Mbeya, Tabora, Bandari uelekeo wa Ziwa Tanganyika.

Karibu PM kwa serious investor.
 
Mi niweke milion 500 wewe uweke kiwanja au au tunagawana 250@ sina maana kuwa ninazo nawaza kwa niaba ya mwenye nazo
 
nikija kununua, utaniuzia? kwa bei gani? using'ang'anie kuwekeza wakati unadunduliza pesa.
 
Wewe kodisha hiyo ardhi kula kodi yako. Ni ngumu mtu aje na mamilioni yake halafu wewe huna kitu. Au tafuta hata robo ya hela unayotaka iwekezwe kisha 75% itoke kwa wawekezaji
 
Uwekezaji unao ongelea ni mkubwa, unaweza kugharimu 500m+ Jitahidi kuweka picha nyingi ili kuweza kuwashawishi wenye mitaji.
Sawa Mkuu, Asante kwa ushauri, lakini pia any interested party anaweza kuwasiliana nami kwa picha na uthibitisho mwingine zaidi including ownership documents.
 
Mi niweke milion 500 wewe uweke kiwanja au au tunagawana 250@ sina maana kuwa ninazo nawaza kwa niaba ya mwenye nazo
Mkuu kumbuka nimeshaweka baadhi ya miundombinu, Sina maana ni vacant land. Baadhi ya miundombinu nishaifanya mwenyewe.
Karibu!
 
nikija kununua, utaniuzia? kwa bei gani? using'ang'anie kuwekeza wakati unadunduliza pesa.
[emoji3][emoji1][emoji3] Karibu tuzungumze, japo nishaanza sehemu ya uwekezaji, Sina maana kwamba mtaji wote 100% utoke kwa mbia.
 
Back
Top Bottom