Mkuu ulipata? mimi nafugia Kerege bagamoyo ila mradi bado ndio umeanza nina mbuzi wa nyama mbegu kubwa aina ya GALLA/ISOLO na BOAR nategemea kuzalisha kwanza ndio nianze kuuzaNipe mawasiliano na kama unawajua fika basi nielekeze ni wilaya gani na sehemu gani ili nitume watu wangu wa karibu walioko Mbeya wakathibitishe
Nimesha elekeza hapo juu waone watu wa Mbogo Ranches utapata mbegu za uhakika na uingie ktk page yao utawaona aina ya Mbuzi unaowataka, ila kama unaanza ufugaji nisinge kushauri uanze na Boer kwanza maana ana njia zake za kuwafuga.Mie nopo maeneo ya chanika dar es salaaam naweza wapataje hao mbuzi na ni kiasi gani
Hao mbuzi asili yao ni Kenya eneo la Isiolo, hao wanaitwa Siolo, wanazaa mapacha mara nyingi na wanakua kwa haraka.Magharibi ipi mi ndo nimemaliza mabanda Ngara. Wilaya ya Longido nimewaona mbuzi wazuri weupe breed ya Kenya nimesahau jina, ni Wakubwa kama hizo breed ulizotaja ila hawana complications, ni kama local breed. Sasa kuwafikisha magharibi ndo sijui.
Jamaa mwenyewe ana kiburi balaa huyo mchagaNawaomba mtembelee mtandao wa, shambanifarm huyu jamaa ni mfugaji mzuri wa Boer mtapata mwongozo mzuri sana kwake. facebook, instagram, You tube kote mtamkuta na mtapata maelekezo ya kutosha.
Kuna mbegu nzuri sana kutoka Longido, asili yake Kenya Isiolo, google utawaonaMie nopo maeneo ya chanika dar es salaaam naweza wapataje hao mbuzi na ni kiasi gani
Isiolo ninao japo ni mfugaji mpyaNawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba niwape ufafanuzi kuhusiana na Mbegu ya Mbuzi mlizo ziseama, kusema ukweli kabisa kuna watu wanao hao Boer na Savanna hapa Tz ila naomba niwape anagalizo kama kwesi unahitaji kuwekeza ktk hizo mbegu ningeliwashauri kwanza mfanye kutembelea kwanza wafugaji wa hizo mbegu halfu ndio uamue kufuga.
Nazungumza hivyo kutokana na uzoefu wangu ktk ufugaji wa mbuzi na nipo ktk mtandao wa wafugaji Mbuzi Tz, kwa hizo mbegu ningeshauri uwasiliane na Mbogo Ranches ndio pekee weney uhakika wa hizo mbegu. Shamba lao lipo Mdaula hapo, na ukiingia Instagram utawakuta utaona kila aina ya Mbegu walizo nazo na utawasiliana nao hao.
Kuhusu ugaji wa Mbuzi wa Nyama nitawashauri uanze na Galla/Isiolo wana faa sana kwa Nyama na soko letu la kawaida. mliopo Ngara fugeni Mubende ukiwa cross na Galla/Isiolo mtapata matokeo mazuri sana.
Mlioko kigoma Fuga Buha nao niwazuri sana kwa ukuwaji na kuzaa vyema wote hao huzaa mapacha mpaka 3.
Ukihitaji ufafanuzi zaidi utauliza.
Nikweli unacho kisema lakini hao wanao zaa mapacha ni wali Cross walipo kuja kenya, asili kabisa ya hawa Isiolo ni kuzaa mmoja, na nakubaliana na wewe kabisa waliingizwa Kenya kwanza kabisa ktk kaunti ya Isiolo.Hao mbuzi asili yao ni Kenya eneo la Isiolo, hao wanaitwa Siolo, wanazaa mapacha mara nyingi na wanakua kwa haraka.
Ni mbuzi wa nyama na maziwa.
Hongera sana ndugu waangalie vyema hao ni mali hiyo 🤣 🤣Isiolo ninao japo ni mfugaji mpya
Na ningeomba muwe waangalifu kwa sasa ktk kuagiza Mbuzi hasa toka Arusha maana kuna mlipuko wa hiyo GOAT POX.Kuna mbegu nzuri sana kutoka Longido, asili yake Kenya Isiolo, google utawaona
Najitahidi bado najifunza mkuuHongera sana ndugu waangalie vyema hao ni mali hiyo [emoji1787] [emoji1787]
Karibu sana ndugu wakati wowote kuna swali tuwasiliane kumbuka chanjo zote CCPP ni ya muhimu sana hasa kwa hiki kipindi kabla Mvua hazijaanza .Najitahidi bado najifunza mkuu
Yep, yule mganda anatoa elimu nzuri sana na inaonekana mbuzi wanaweza kukupa kipato kikubwa sana ukifanya inavyotakiwa, na kuna mwingine wa Ghana lakini yeye ni samaki, seems hivi vitu mtu ukiamua kujiajiri na ukawa serious unaweza kuwa better kuliko kuajiriwa na mtu,napenda kuangalia hawa watu kwenye youtube, Africa kuna namna nyingi sana ya kutokuwa maskini, ningekuwa siko busy na mambo yangu ningefanya hayo mambo na nina uhakika nisingepiga pesa ya kutosha tuuAsante sana Ndugu yangu kwa kunishauri vizuri. Nitatafuta mawasiliano yao ila sema Taasisi zetu huku Tanzania zimelala.
Yaani hata hawajitangazi sijui wanataka nini.
Hawa ndugu zetu waganda wametupiga bao. Mfuatilie huyu jamaa Hamiisi Semanda kwenye youtube utapata kitu.
Ingia mwenyewe polepole kama unaogopa kuacha ajira yako, kwa mishahara ya watu wengi wa bongo naona kama ukiwa serious na hivi vitu unaweza kutengeneza kuliko ajira za kuajiriwaKwa kweli ufugaji wa Mbuzi ni mzuri sana kikubwa ni kupata vijana waangalifu na wenye kuupenda ufugaji, maana changamoto inayotukabili ni kuwa bado tupo kwenye ajira za watu sasa vijana ndio huwa wanatuangusha sana.