Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

Nipo mwanza mjini natafuta mbwa
Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu.

Rangi :Nyeusi itapendeza zaidi
Tabia: Mkali sana
Bei: Isizidi elf 20
Mkuu mbwa wa kienyeji mbona wapo wengi tu wamezagaa mitaani wanakula mavi ya walevi!
We nenda maeneo ya machinjioni, dampo na maeneo ya vilabu vya pombe mwitu utakuta mijibwa kibao unajichukulia hata bure( kuhusu kuwa mkali unamvutisha bange kidogo)
 
Nataka watoto wa mbwa
 
Mkuu hapo mwanza niliishi miaka ya 2019, aseee hivi hao mbwa wanaozurura mitaani wanatoka wapi? Alafu hata hawang'ati, nilkuwa na akili za kitoto skufkiria hata kuchunguza wenyeji kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom