Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

kama kweli uko seriaz, kwa afu 20 ni uongo. hailipi boss wangu.
1325594432.jpg
 
Mkuu mbwa wa kienyeji mbona wapo wengi tu wamezagaa mitaani wanakula mavi ya walevi!
We nenda maeneo ya machinjioni, dampo na maeneo ya vilabu vya pombe mwitu utakuta mijibwa kibao unajichukulia hata bure( kuhusu kuwa mkali unamvutisha bange kidogo)
mkuu unauza mbwa bila shaka
 
Mkuu mbwa wa kienyeji mbona wapo wengi tu wamezagaa mitaani wanakula mavi ya walevi!
We nenda maeneo ya machinjioni, dampo na maeneo ya vilabu vya pombe mwitu utakuta mijibwa kibao unajichukulia hata bure( kuhusu kuwa mkali unamvutisha bange kidogo)
Aseee katika maeneo yenye mbwa waliozagaa hovyo ni Mwanza, mara ya kwanza nilipoenda niliona kundi la mbwa kama 20 hivi, mwanzo nilidhani labda ni mbuzi, ile kucheki vizuri ni mijibwa tupu
 
Juzi kati nimegawa hapo Buzuruga mbwa 2 jamii ya Roth weiler 3 generation
 
Atlset fika 100 nkupe huyu anachanjo zote anaoshwa kila jpl anafunguliwa usku tu hazuruli kama ao unaowaita wa kienyej na jina lake analifaham namwita chiko pia ajisaidii bandan kwake wala mazngra ya nyumban
IMG_20240322_184727.jpg
 
Back
Top Bottom