Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

Nipo mwanza mjini natafuta mbwa
Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu.

Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi
Tabia: Mkali sana
Bei: Isizidi elf 20
Chunga sana ndugu yangu .Kuna mwenzako juzi hapa Victoria -DAR ameuziwa kitoto cha fisi akaambiwa ni mbwa aina ya German shephered.Alipigwa pesa nzuri tu na muuzaji amehama kituo.Sasa hivi huyu Bwana anatembea na bisibisi ndefu anasema siu za huyo tapeli zinahesabika.
 
Back
Top Bottom