Chunga sana ndugu yangu .Kuna mwenzako juzi hapa Victoria -DAR ameuziwa kitoto cha fisi akaambiwa ni mbwa aina ya German shephered.Alipigwa pesa nzuri tu na muuzaji amehama kituo.Sasa hivi huyu Bwana anatembea na bisibisi ndefu anasema siu za huyo tapeli zinahesabika.