Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

Soma hiyo guideline ya TCU wacha kukaza kichwa. Hizo division 3 kusoma MD labda miaka ya 2012 kurudi nyuma ambapo hakukuwa na ushindani mkubwa.

Halafu mimi siyo mtoto wa jana, sitaki tu kujielezea humu. Sikuhizi bila division one kali husomi udaktari hapa Tanzania, japo vigezo vinataka mwisho two ya 12
Well said!! 🤝
 
Wapo vizuri.Wazoefu kuna stori fulani yamuhusu kutoa mfupa kooni
Mambo ya kubahatisha. Ndio maana nchi za maana hawaruhusu machizi ku practise. Madaktari wa kitanzania wenye uwezo kwanza wa kufaulu mitihani ya bodi ni wale ambao ata shuleni sekondari walikuwa vipanga hasa. Hawana mchezo na grades. Kutoa mfupa ata raia wakawaida anaweza bahatisha.
 
Ni wastage acha kujipa moyo, nitajie md yoyote tajiri Tanzania, nje yenyewe watu wanaikimbia skuizi. Nguvu nyingi, muda mwingi kazini ata ela ukipata haina maana. Kozi la hovyo. Wenzio wapo TRA, TIRA, Hazina etc, hawatoi jasho wala hawaamki usiku na hawalaumiwi kwa kuua na wana maisha kukuzidi unataka kusemaje yani? 🤣 Umechagua kazi ya malofa dogo usijidanganye. Nerds and low people ndio wanajichanganya huko. Unatumia nguvu nyingi kuwa mtu wa kawaida. Kwanza ebola ikija unasepa chap kama upepo🤣🤣
We nae acha mdomo hao wa TRA and the likes wenye uhakika wa kupata huo utajiri wanafika wangapi compare na watanzania wote? Ni mentality ya kijinga kuamini kila mtu inabidi afanye kazi TRA.

Maisha yana mgawanyo hatuwezi wote kukaa mjini, hatuwezi wote kuwa wanasiasa, hatuwezi wote kufanya kazi TRA, ikulu etc. You ain' that smart bro. Bila shaka wewe ni aina ya watu ambao mna mchango mdogo sana kwa hili taifa.
 
Mambo ya kubahatisha. Ndio maana nchi za maana hawaruhusu machizi ku practise. Madaktari wa kitanzania wenye uwezo kwanza wa kufaulu mitihani ya bodi ni wale ambao ata shuleni sekondari walikuwa vipanga hasa. Hawana mchezo na grades. Kutoa mfupa ata raia wakawaida anaweza bahatisha.
Hiyo stori Ni Mtu wa Afya mzoefu wa Miaka mingi tena auxiliary nurse alimtoa Mfupa ambao Madaktari walishindwa.Kwa hiyo tusidharau hao form four walioanzia CO mpaka Daktari MD wako competent kuzid MD fresh from School.Nimewahi fanya mahali tofauti ipo kubwa.Daktari alianzia CO akaja AMo na kuendelea mpaka MD,anakuwa kumpetent than MD alisoma fresh from school.

Jamani alianzia chini mpaka juu especial Doctors mpaka Nurse, ni moto potea mbali fresh from school hawakuti hawa hasa kesi mpya mpya haa.

Naongea kwa kujiamini najua sibabaishi
 
Hiyo stori Ni Mtu wa Afya mzoefu wa Miaka mingi tena auxiliary nurse alimtoa Mfupa ambao Madaktari walishindwa nao walikuwa wanadharau kama wewe.Toka siku hiyo alipewa usaidizi wa kakitengo chezee weye.Kwa hiyo tusidharau hao form four walioanzia CO mpaka Daktari MD wako competent kuzid MD fresh from School.Nimewahi fanya mahali tofauti ipo kubwa.Daktari alianzia CO akaja AMo na kuendelea mpaka MD,anakuwa kumpetent than MD alisoma fresh from school.

Jamani alianzia chini mpaka juu especial Doctors mpaka Nurse, ni moto potea mbali fresh from school hawakuti hawa hasa kesi mpya mpya haa.

Naongea kwa kujiamini najua sibabaishi
 
Hiyo stori Ni Mtu wa Afya mzoefu wa Miaka mingi tena auxiliary nurse alimtoa Mfupa ambao Madaktari walishindwa.Kwa hiyo tusidharau hao form four walioanzia CO mpaka Daktari MD wako competent kuzid MD fresh from School.Nimewahi fanya mahali tofauti ipo kubwa.Daktari alianzia CO akaja AMo na kuendelea mpaka MD,anakuwa kumpetent than MD alisoma fresh from school.

Jamani alianzia chini mpaka juu especial Doctors mpaka Nurse, ni moto potea mbali fresh from school hawakuti hawa hasa kesi mpya mpya haa.

Naongea kwa kujiamini najua sibabaishi
Hakuna kitu kama hicho, ni kulelea incompetency. Story moja moja za sijui nani kafanya nini japo hana elimu zipo nyingi sana. Haziondoi umuhimu wa kuwa na watu sawasawa. Unajua hao unaowasema wanaharibu mangapi kwa kujifanya madaktari au wanajua? Wameua sana na kutia WATU vilema , achana na story moja moja.
 
Back
Top Bottom