Natafuta mchongo wa Medical Doctor (MD)

Well said!! 🤝
 
Wapo vizuri.Wazoefu kuna stori fulani yamuhusu kutoa mfupa kooni
Mambo ya kubahatisha. Ndio maana nchi za maana hawaruhusu machizi ku practise. Madaktari wa kitanzania wenye uwezo kwanza wa kufaulu mitihani ya bodi ni wale ambao ata shuleni sekondari walikuwa vipanga hasa. Hawana mchezo na grades. Kutoa mfupa ata raia wakawaida anaweza bahatisha.
 
We nae acha mdomo hao wa TRA and the likes wenye uhakika wa kupata huo utajiri wanafika wangapi compare na watanzania wote? Ni mentality ya kijinga kuamini kila mtu inabidi afanye kazi TRA.

Maisha yana mgawanyo hatuwezi wote kukaa mjini, hatuwezi wote kuwa wanasiasa, hatuwezi wote kufanya kazi TRA, ikulu etc. You ain' that smart bro. Bila shaka wewe ni aina ya watu ambao mna mchango mdogo sana kwa hili taifa.
 
Hiyo stori Ni Mtu wa Afya mzoefu wa Miaka mingi tena auxiliary nurse alimtoa Mfupa ambao Madaktari walishindwa.Kwa hiyo tusidharau hao form four walioanzia CO mpaka Daktari MD wako competent kuzid MD fresh from School.Nimewahi fanya mahali tofauti ipo kubwa.Daktari alianzia CO akaja AMo na kuendelea mpaka MD,anakuwa kumpetent than MD alisoma fresh from school.

Jamani alianzia chini mpaka juu especial Doctors mpaka Nurse, ni moto potea mbali fresh from school hawakuti hawa hasa kesi mpya mpya haa.

Naongea kwa kujiamini najua sibabaishi
 
 
Hakuna kitu kama hicho, ni kulelea incompetency. Story moja moja za sijui nani kafanya nini japo hana elimu zipo nyingi sana. Haziondoi umuhimu wa kuwa na watu sawasawa. Unajua hao unaowasema wanaharibu mangapi kwa kujifanya madaktari au wanajua? Wameua sana na kutia WATU vilema , achana na story moja moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…