Natafuta Mchumba aje kuwa mke

Natafuta Mchumba aje kuwa mke

Miaka 40 kama tayari nina watoto na mke alishasepa sina mpango wa kuoa. Nitakua nasaidia tu wenye kuhitaji penzi na watoto
 
Duh! Nilishangaa kuona kwaya moja ilienda ziarani kuimba. Robo tatu na zaidi hawana waume na wanajitangaza wazi wazi kwa wenyeji wao kuwa majimbo yako wazi licha ya kusaidiwa kampeni hiyo na mchungaji wao. Wengine ni single mother na wa kazi zao
 
Back
Top Bottom