Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Maalim ukipata wawili au watatu nipigie cross na mimi.....Habari za Kazi,
Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa.
Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri usizidi 38, awe mcha Mungu kiasi au sana ni sawa tu, awe mfanyakazi na awe tayari kuja kuishi Dar kama atakua mkoani. Kama uko tayari au unafikiri unaweza kunifaa karibu.
Mimi ni mjasiriamali, najimudu, nimeshajenga, niko tayari kwa ndoa, elimu yangu ni Masters, sio mrefu ila sio mfupi, inategemea na urefu wako au ufupi wako.
Only serious ladies tafadhali.
Baby nipo hapaHabari za Kazi,

Nashukuru sana Inshallah nitapatapole mkuu shift wadada waliojitokeza kwenye uzi wako ni vichwa vigumu / wataalamu wa hizi kazi / generation Z. Hope serious ones wamekufata pm.
Lakin usisahau NDOA NI UTAPELI.
Nilikuwa nakusubilia wewe.Habari za Kazi,
Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa.
Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri usizidi 38, awe mcha Mungu kiasi au sana ni sawa tu, awe mfanyakazi na awe tayari kuja kuishi Dar kama atakua mkoani. Kama uko tayari au unafikiri unaweza kunifaa karibu.
Mimi ni mjasiriamali, najimudu, nimeshajenga, niko tayari kwa ndoa, elimu yangu ni Masters, sio mrefu ila sio mfupi, inategemea na urefu wako au ufupi wako.
Only serious ladies tafadhali.
Mungu ni nwemaHabari za Kazi,

Karibu sana uko tayari kucheki afya?Nilikuwa nakusubilia wewe.