njooo pm myMm ni mwenyewe, umepata mtima wa moyo wako.....ninafikiria kujiajiri ama kuajiriwa baada ya kuvuka mwaka na kuacha shughuri zile zote!.....je upo tayari? Hivyo vigezo vingine vyote vimekamilika kwangu....na huo umri ndio kwanza nauanza sasa
Nipo hapa niPM maana hata mimi natafuta Mkeumri wangu miaka 26,elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa,dini ni kristo kitu ninacho kipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote ,,,,,,mwanaume ninae muhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo .ntampenda na kumlinda daima karibu kwa alie pendezewa na Mimi.