Natafuta mchumba ambae badae awe mume

Natafuta mchumba ambae badae awe mume

Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Unapatikana wapi?
 
dah sio zari sifa zote ninazo ila kigezo cha dini ndio kumechemka??
 
Dah..... Safi sana... Unarudi nyumbani umechoka na "steleses" kibao.... Unakuta mazagaza ya ukweli mezani... Unaimbiwa.... Unachezewa... Kwanini usiishi miaka 200?....Fursa hiyo [emoji13] [emoji13]
 
Kwa maelezo yako utampata maana sioni kama unamkopo wowote popote zaidi ya gengeni na kwa mangi
 
Nipo hapa Nina sifa zote unaxotaka,ila na mm ila na mm nina vigezo vyangu,kwanza elimu yako angalao iwe ya o,levo Pili uwe na hofu ya mungu,tatu uwe msafi nne usiwe mlevi na tano uwe na kaz hata ya kuajiriwa sio mama wa nyumban, kama upo tayar nichek
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.

Hapo kwenye weupe/ maji ya kunde umeniacha dah
 
yeah,unatoka job na stress za boss,unakuta kakupikia eggroll,unakula huku anakuchezea kuch kuch hota he
Teh teh teh teh...hicho kigezo cha kucheza mziki asingekiweka kwa CV yake!...labda kucheza mziki in a productive way e.g mnenguaji wa bend flan au msanii flan hapa mjin
 
joined saturday...
anatafuta mchumba!!
mmmh ebu njoo na ID yako ya zamani ueleweke vizuri
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Ni pm navigezo vyote
 
Awe msafi hadi roho, hapa omo inahusika
 
Back
Top Bottom