Natafuta mchumba ambae badae awe mume

Natafuta mchumba ambae badae awe mume

Unajishughulisha na nini,
Umeajiliwa au ww bado ni tegemezi?
Umeajiliwa serikalini au sekta binafsi?
Una nini, Akaunti yako ya benk Ina kiasi gani?
Na kama hujaajiliwa hayo matokeo yako ya kidato cha nne yakoje?
Umekuwa kwenye mahusiano na wanaume wangapi?

Usifikilie kuwa mwanamke mrembo na kujua kukatika kitandani ndo sababu ya kufanya uolewe inabidi na ww uwe na chochote cha kuongezea familia kipato otherwise jiandae kutokua na uhuru kwenye hiyo ndoa.
Ukiisoma vizur na kama una common sense......!!!!

Utagundua ana akili ya ujasiliamali

Msituchukulie tegemezi sana kwakua mnaitwa kichwa cha familia.[emoji10]
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Let's talk
0674333223
 
Mimi natafta kazi je kwenye ujasiriamali wako kuna kinafasi hapo? Vigezo vingine vyote viko safi. Naomba unikubalie Mpenzi
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Chura yupo?
 
Kaka wewe ni mrefu nitafte. Kama mfupi acha tu. Na usiwe Bonge
 
Jiphotoee kwanza tukukague kama na ww unakizi vigezo
 
21 hapana??? kwanza mapenzi umr dadaanguuuu??
anamaanisha wewe bado mvulana,yeye anatafuta mwanaume,
lakini mi nina mdogo wangu alioa akiwa 21 na bado yuko mkewe leo mwaka 10,
kuna wavulana pia walio serious na maisha japo katika 100 utapata 3
 
Back
Top Bottom