Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hataki watoto au akina malyooo, na yeye hapendi kuwa sugamamimimi na 21 vpppp
Ukiisoma vizur na kama una common sense......!!!!Unajishughulisha na nini,
Umeajiliwa au ww bado ni tegemezi?
Umeajiliwa serikalini au sekta binafsi?
Una nini, Akaunti yako ya benk Ina kiasi gani?
Na kama hujaajiliwa hayo matokeo yako ya kidato cha nne yakoje?
Umekuwa kwenye mahusiano na wanaume wangapi?
Usifikilie kuwa mwanamke mrembo na kujua kukatika kitandani ndo sababu ya kufanya uolewe inabidi na ww uwe na chochote cha kuongezea familia kipato otherwise jiandae kutokua na uhuru kwenye hiyo ndoa.
Let's talkUmri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Ushamuita dadaako af bado unamtaka hee21 hapana??? kwanza mapenzi umr dadaanguuuu??
LamiHapo kwenye maji ya kunde nimefeli mi ni mweusi kama rami
Chura yupo?Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Asante mwalimuLami
Lami
anamaanisha wewe bado mvulana,yeye anatafuta mwanaume,21 hapana??? kwanza mapenzi umr dadaanguuuu??