Unapatikana wapi?Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
yeah,unatoka job na stress za boss,unakuta kakupikia eggroll,unakula huku anakuchezea kuch kuch hota heunapenda kupika na kucheza mziki??
Teh teh teh teh...hicho kigezo cha kucheza mziki asingekiweka kwa CV yake!...labda kucheza mziki in a productive way e.g mnenguaji wa bend flan au msanii flan hapa mjinyeah,unatoka job na stress za boss,unakuta kakupikia eggroll,unakula huku anakuchezea kuch kuch hota he
Ni pm navigezo vyoteUmri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.
Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.
Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
napenda kupika na kucheza mziki
Ushaanza kumwita my tenanjooo pm my