Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Joined
Feb 23, 2023
Posts
20
Reaction score
61
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.

Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.

Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.

Karibuni
 
Mimi ni Mschana mwenye miaka 26 ..mkazi wa Dar es ..Lakini Kwa sasa nipo arusha kikazi.. natafta mwanaume ambae yuko tayal kutulia na kuianza safali ya ndoa.

Vigezo awe anajishugulisha na kaz yyte ..awe mchristo kabila lolote, umli wowote , Asiwe na Mtoto bas .kalibuni
Siku hizi kuoa ni kama kujitoa muhanga.
 
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.

Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.

Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.

Karibuni
Good luck beautiful
 
Nakuja PM chap....
 
Back
Top Bottom