Karibu,Nina kaziMimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni