Rola Alexander
Member
- Feb 23, 2023
- 20
- 61
Mchiristo[emoji15]
Umli[emoji15]
Kalibuni[emoji15]
Tayal[emoji15]
Safali[emoji15]
Haya kila la kheyri
Kila la kheri Rola.Mimi ni Mschana mwenye miaka 26 ..mkazi wa Dar es ..Lakini Kwa sasa nipo arusha kikazi.. natafta mwanaume ambae yuko tayal kutulia na kuianza safali ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kaz yyte ..awe mchristo kabila lolote, umli wowote , Asiwe na Mtoto bas .kalibuni
sante DearKila la kheri Rola.
NI mwendo wa kukosoana tu..!!Kheyri au sio[emoji2955]
Siku hizi kuoa ni kama kujitoa muhanga.Mimi ni Mschana mwenye miaka 26 ..mkazi wa Dar es ..Lakini Kwa sasa nipo arusha kikazi.. natafta mwanaume ambae yuko tayal kutulia na kuianza safali ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kaz yyte ..awe mchristo kabila lolote, umli wowote , Asiwe na Mtoto bas .kalibuni
Kila la hellMchiristo😳
Umli😳
Kalibuni😳
Tayal😳
Safali😳
Haya kila la kheyri
Hapa nadhani tumtafte Oni sigara labda atufafanulieHivi msichana huwa ni mwanamke bikra au ni mwanamke mdogo kiumri?
Hii tamu wacha nijisogeze pm.Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni
Good luck beautifulMimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni
Nakuja PM chap....Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni