OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Dec 25, 2023 #181 bulabo said: Mwanamke wa kuoa kweli umpate kwenye mtandao bila kumuona na kuishi naye hata miaka 2 usije ukajuta.... Click to expand... Wewe ni mshamba. Hii ni connection tu. Kwani unadhani mnafunga ndoa PM kabla hamjaonana?
bulabo said: Mwanamke wa kuoa kweli umpate kwenye mtandao bila kumuona na kuishi naye hata miaka 2 usije ukajuta.... Click to expand... Wewe ni mshamba. Hii ni connection tu. Kwani unadhani mnafunga ndoa PM kabla hamjaonana?
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Dec 25, 2023 #182 Rola Alexander said: Honest nna tatizo la kuchanganya R na l ... kikubwa si umeelewa ... ila iyo Christo yako umeongopa angalia ya kwangu ipo sawa kabisaaa Click to expand... Una elimu gani?
Rola Alexander said: Honest nna tatizo la kuchanganya R na l ... kikubwa si umeelewa ... ila iyo Christo yako umeongopa angalia ya kwangu ipo sawa kabisaaa Click to expand... Una elimu gani?