Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.

Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.

Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.

Karibuni
Weka namba ya simu wadau wachangamkie fursa
 
Kupata mume bora inategemea ni jinsi gani uivyojitunza kweny ujana wako,kama ulikuwa mtulivu tu basi MUNGU BABA atakupa mtulivu ila kama ndo wale wale imekula kwako
 
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.

Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.

Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.

Karibuni
Hakuna Mume bora,ila kwa kumjenga wewe ili awe mume bora,hata kama utamlinda ili awe unavyotaka,bila ya kufanya yale yatakayo msaidia kuwa bora.kulingana na ndoto zenu tena sio zako,ila ndoto za kukaa kupanga kuridhiana na kukubaliana.Na sii zile za kutaka kuishi maisha ya kuigiza,kwa kuangalia rafiki zako,ndugu au maisha ya wanaowazunguka.🤔
 
Back
Top Bottom