Islam Mbahu
Member
- Jan 26, 2020
- 7
- 0
Hongera kwa hilo lakin swala linaloitwa ndoa ni taasisi inayojitegemea tena ni ngumu kuiishi kama haujafanya utafiti mzuri wakati wa kuliendea.Swala la kuandika humu tangazo na vigezo vyako kama unatafuta mfanyakazi wa ndani au dukani mh unanitia mashaka kama upo seriously. (HASA KWA DUNIA YA SASA)