Karibu,Nina kaziMimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni
Hizi ndio red flags zenyeweeπ©π©π©π©π©Mchiristoπ³
Umliπ³
Kalibuniπ³
Tayalπ³
Safaliπ³
Haya kila la kheyri
Unatafuta matatizoMimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni
Mimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni
Mwanamke wa kuoa kweli umpate kwenye mtandao bila kumuona na kuishi naye hata miaka 2 usije ukajuta....
NakuombeaMimi ni Msichana mwenye miaka 26, mkazi wa Dar es Salaam Lakini kwa sasa nipo Arusha kikazi.
Natafuta mwanaume ambaye yuko tayari kutulia na kuianza safari ya ndoa.
Vigezo awe anajishugulisha na kazi yoyote awe Mkristo, kabila lolote, umri wowote , Asiwe na Mtoto.
Karibuni
Not such a big dealMchiristo[emoji15]
Umli[emoji15]
Kalibuni[emoji15]
Tayal[emoji15]
Safali[emoji15]
Haya kila la kheyri
Madanga ni nani hao ? sisi wengine ni watu wa vijijini tusaidieAngalieni msije kuoa madanga
Usijali nitakufundisha taratibu.Honest nna tatizo la kuchanganya R na l ... kikubwa si umeelewa ... ila iyo Christo yako umeongopa angalia ya kwangu ipo sawa kabisaaa
Hebu wamwache mchumba wangu mtarajiwa Rola AlexanderNI mwendo wa kukosoana tu..!!
ππHebu wamwache mchumba wangu mtarajiwa Rola Alexander
sawaUsijali nitakufundisha taratibu.
Wakuu maombi yenu naona huu ni wakati wangu kuwa na mke bora
Satoh Hirosh
Extrovert
Ninakusubiria unachelewa sana hebu wahi pm basi?ππ
Dada huyu Rola Alexander anafaa kuwa wifi yako nizame pm? Ushauri plzAll the best