Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Kupata mume bora inategemea ni jinsi gani uivyojitunza kweny ujana wako,kama ulikuwa mtulivu tu basi MUNGU BABA atakupa mtulivu ila kama ndo wale wale imekula kwako
Na hujui pia hao unaowaita wale wale sometimes Mungu anawapa mume mwema na wanatulia kabisa hadi waliokuwa wakisema "haolewi huyu" wanatamani hadi kumuuliza Mungu imekuwaje?
 
Kumbe kuolewa dili eh
 
Ndio mara ya kwanza sijaona kigezo cha urefu
 
Umeshakitombeshaa ndio unatafuta mume,nani ananunua gazeti la jana
 
Ivi nyie mnaotafuta wachumba kwa mtandao uko kwenu akuna watu? au wanazijua tabia zenu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…