Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

Natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mume wangu

hivi kujiamini mnakupendea nn??
nina demu wangu huyo, haachagi kunisifia kwa ninavojiamini, ktk madem nliwai kukutana nao, asilimia kubwa wanapenda wanaume tunaojiamini,

kuna siri gani kwny kujiamini????

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake tunapenda sana kulindwa, na si kwamba tunapenda in fact, it was meant to be, tulindwe na tupendwe! Sasa kuwa na mwanaume anayejiamini inatufanya siye wanawake to have that feeling kuwa tupo secured in every rising situation.!
 
Na mimi nimeliona hilo kwako.
Kinadada niliwahi moenda mno....nilifight sana KUA nae
Of course aliwah umizwa nyuma so nikawanajitahd kumuweka sawa... weekend nikajitahd kumtoa out kidogooooo na ma nyingi nliongea nae kuhusu future
But[emoji57][emoji57][emoji57] nilikuja gundua anamahusiano na brother wangu [emoji2955][emoji848][emoji26][emoji21][emoji21][emoji25][emoji25] nikasema okey nkakaa pembeni...walienda mwez mmja wakabwagana

kelphin kepph
 
Kila siku unahangaika kufungua ID Mpya .......wanawake bwana tamaa mbele mauti nyuma

Mnatafuta wa kupiga vizinga ....ukiona yupo kimya unafungua ID mpya tena kutafuta wengine



sent from toyota Allex
Kweli sweety wanawake wengine bwana nyuma ya pazia naona wamegeuza kuwa sehemu ya kuwazuzuza maboya wanaopenda vitonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom