Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Hahahaaa! Usijali Fidel80
Yeah si unajua mkuu kitu kusaidiana pindi mwenzako anapo shindwa kuimbisha sholi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Usijali Fidel80
teh teeeh , point to note and will be taken into action soon!!, na Polisi nao ni wengi. halafu hawa utakua na uhakika wa usalama kwa 100%, ukipelekwa kituo cha polisi askari wote watakua shemeji zako kesi hakuna, kwishnei!!.lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa JWTZ wamejaa tele ..
teh teeeh , point to note and will be taken into action soon!!, na Polisi nao ni wengi. halafu hawa utakua na uhakika wa usalama kwa 100%, ukipelekwa kituo cha polisi askari wote watakua shemeji zako kesi hakuna, kwishnei!!.

ebwanaee, nikupe dili mpwa??Hii poa sana GP, nilikuwa sijaishtukia, totoz njangu kumbe swaafi-si zamani walikuwa wanasema waolewe na polisi wenzao?
teh teeeh , point to note and will be taken into action soon!!, na Polisi nao ni wengi. halafu hawa utakua na uhakika wa usalama kwa 100%, ukipelekwa kituo cha polisi askari wote watakua shemeji zako kesi hakuna, kwishnei!!.
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa UWTZ wamejaa tele ..
Mhhh! we hunitakii mema. Mwishowe utasema niende corner bar sinza africa sana.
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.
Getrude.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 32-40
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
natafuta mchumba ambaye anamcha mungu hawe na mapenzi ya dhati, hawe mwaminifu, hawe ni mtu anayependa maendeleo
Wasifu wake na vitu anavyopenda
mimi ninafanyakazi kwenye company ya mtu binafasi ni Secretary elimu yangu ni kidato cha nne, nimeokoka nampenda Yesu, napenda kusoma bible, kusikiliza kwaya, kuangalia TV, kusoma vitabu
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: getrude.nickson@yahoo.com
Simu yake: nitatoa baadae
Sababu ya kutafuta ni:
kuwa na mtu wa kutiana moyo katika maisha
Mkuu jaribu bahati yako hapa chini
Sijui atakufaa kazi kwako mkuu.
Mpwa ulishatesti zali hapo au? Manake huaminiki aminiki sana!
kwa nini umejiajiri halafu unataka mfanyakazi? ninavyoona huyo ni mvulana anataka msichana. Nakukaribisha kanisani kwetu Kinondoni church uje uone vimwana vinavyompenda Yesu upate upako wa kuoa.
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.
Wasifu wangu
- Umri, miaka 28
- Urefu, futi 6.0
- Dini, mkristu
- Kazi, nimejiajiri
- Kipato, cha wastani
- Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..
Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.
- Umri usiozidi miaka 30
- Asiwe mfupi sana
- Elimu isiyopungua ya sekondari
- Awe anafanya kazi
- Umbo la wastani
- Sibagui rangi (race)
Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 772 884226
Mvina;672199]Mkuu mbona kakueleza kuwa anataka kuoa bana au hata mademu wanaoa nn cku hizi?