Natafuta mchumba au rafiki

Natafuta mchumba au rafiki

ujapata tuu mchumba bado tujulishe na ss tunaataka kutafuta humu
 
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa UWTZ wamejaa tele ..

Firstlady lkn ata hao maticha pia siwanaingia JF au? uenda kuna mtu ata taka kufahimiana na jamaa then kikaeleweka. Kuna watu hukutana facebook, plentyoffish, hi5.com na site zinginezo nyingi kuanza urafiki kisha kuoana kabisa. Nafikiri ni better JF kuliko ata club. Uenda kaandikiwa wife wake atapatikana JF as long as sio kicheche naona itakuwa imetulia.

Mimi mwenyewe am looking sijui nitangaze...lol
 
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa UWTZ wamejaa tele ..

Hahahahah! FL hujatulia, eti maafande wa JWTZ....!!! Labda tatizo la jamaa ni viwango alivyojiwekea, he might be too much selective!
 
mi pia natafuta mchumba,but first nataka kujua kipato chako like not less than sh ngapi,mko wangapi kwenye familia,elimu yako etc,as long as umeamua kutafuta mchumba hapa basi pia toa maelezo hayo hapa
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.

Wasifu wangu

  • Umri, miaka 28
  • Urefu, futi 6.0
  • Dini, mkristu
  • Kazi, nimejiajiri
  • Kipato, cha wastani
  • Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..
Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.

  • Umri usiozidi miaka 30
  • Asiwe mfupi sana
  • Elimu isiyopungua ya sekondari
  • Awe anafanya kazi
  • Umbo la wastani
  • Sibagui rangi (race)
Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 772 884226
 
mi pia natafuta mchumba,but first nataka kujua kipato chako like not less than sh ngapi,mko wangapi kwenye familia,elimu yako etc,as long as umeamua kutafuta mchumba hapa basi pia toa maelezo hayo hapa
Dah watu wapo ki maslai zaidi!! Dunia inabadilika si mchezo!!
 
not kimaslai dia,dnt quote me wrng,mm nataka kujua hpe na wengine wengi pia wanata kujua pia yy si kaamua kutafuta hapa so anatakiwa kujibu hapa but kama tungekutana barabarani tungeongea chumbani,awe muwazi zaidi

Yeah I undestand but the answers will lead you to make decision uh? So I guess nowadays people "Love by Mind" not "Love by heart"
 
And you do believe that Love still exists? May be, but not the so called ''love from the bottom of my heart''....Because most people these days don't have bottoms in their hearts!! 🙂
 
very true due to many hearts break so there is no love nad trust as those days way back

When you say "Most" what does that mean? so in you statement you and I still believe that love still exist!!
 
to me love exist but with alot of condition nowday,alot of uvumilivu,sacrifies,prayers etc but to very few pple
When you say "Most" what does that mean? so in you statement you and I still believe that love still exist!!
 
aisee!!!, kwa umri wako kama hata girl friend hujawahi kuwa naye, basi nikushauri usubiri, utaoa mbinguni si lazima uoe duniani, may be mkeo ashatangulia mbele za haki fanya hima kumfata, vinginevyo utavamia wake za watu, mfano Pretty na Firstlady1 UISHIE KUFUNGWA, UARABUNI UTANYONGWA, TAKE CARE
 
Back
Top Bottom