Natafuta mchumba au rafiki


Nenda posta jioni, kama saa kumi na moja hivi ukiwa umevaa vizuri... usipopata mchumba basi mistari huna
 
Vp mwana umeshapata mke au rafiki? Manake nataka kutafuta mchumba hapa JF ila ningependa kupata feedback kutoka kwako kama kuna mafanikio au just boring.
 
mi nilipata hapa hapa JF...sema thread yangu sijui imepotelea wapi.
 
mbona atuambii kama amepata au bado kwann unaanzisha unaingia mitini au ushapata ndo unatest
 
Hujabainisha awe DINI gani Kaka! Ili mradi umelileta JF, UTAFANIKIWA.. ALL DA BEST.
 
Kweli?? ngoja na mm nimwone anipigie cross some where there------}

mi nimemuuliza masanilo sio kwamba nimesema bwabwa ni mtaalamu (dont quote me wrong)
 
Ndoa ni jambo jema,
nakutakia kila la kheri umpate mchumba tabibu wa moyo wako,
na si mtesi wa moyo wako
 
nikutahadharishe kuwa, kwenye mitandao watu wanazingua sana. kuna watu nachati nao wengine nawaambia niko marekani, canada, uk, india, china, australia, italy, tz, kenya nk.

uzoefu unaonyesha, ukisema uko tz tena nje ya dar, ujue itakula kwako, ukisema marekani, uk, na nchi kama hizo, wanachati ile mbaya na picha utatumiwa hadi uchoke, response za china india na uarabuni nazo si za kuridhisha.

kinachofurahisha ni kuwa hata wale ambao unaweza kuhisi ni waelewa wazuri wa mambo nao wanshabikia watu wa majuu. hii ni kansa mkuu, inatafuna, be careful, usiposema uko majuu, hupati, na tena majuu iwe usa au europe. hata humu jf mambo iko hivohivo!

all da best!
 
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa UWTZ wamejaa tele ..

dada, hii picha ni yako? Isije ikawa haya matatizo ya kutafuta wachumba humu JF umesababisha wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…