Natafuta mchumba au rafiki


Hahahaaa! siyo kweli. Siaoni kama nimechelewa kuoa ila ndio nipo kwenye muda muafaka.
 
umewasiliana na dada dorin?
 
Toka Novemba bado hujakamata mchuma mzeiya?
 
fuata mrindimo wa hoja za wanaojitambulisha kama
akina dada humu jf kisha wadondoshee pm wale ambao
unadhani mridimo wao ndio unaokuvutia. naamini utajibiwa
tu kama utaonyesha upo siriasi (si lazima ukubaliwe) ila
naamini watakujibu kistaarabu kama utawa-pm kistaarabu.

angalizo: chunga kunauwezekano wapo jamaa wana-avatar za kibinti lakini
ni madume lol
 
Mi nimepata wawili kama unataka nikupigie pande mmoja tuwasiliane.
 
Nashukuru nimempata rafiki ambaye Mungu akijaalia anaweza kuwa mchumba na baadaye mke. Asanteni wana JF, pia asante kwa walioni-PM, kupiga simu au text msg, walioniandikia e-mail na kutuma post zao. Samahani kwa wale ambao nimeona hatuna chemistry. God bless you all.
 

waooo,hongera...
usisite kututambulisha wifi yetu,wakati ukifika...lol
...goodluck,both of you...
 
waooo,hongera...
usisite kututambulisha wifi yetu,wakati ukifika...lol
...goodluck,both of you...

Asante roselyne1, I hope Mungu akijaalia utapata hata kadi ya mchango na ya mwaliko.
good day.
 
jamani am so sooo happy for you kaka yangu.mungu awe pamoja nawe maombi iwe nguzo yenu.
umeonesha mfano kuwa hata jf kunapatikana wachumba,utawatia moyo na wengine waweze kujitokeza.
 
The Boss mbona thread za mapenzi unazipenda sana si wewe umeanzisha kule tena au,ile ya faida za kufanya mapenzi au??

wewe shogeri nini.....nawas was

Mh. ndugu mbona unamshtumu mwenzio bila hata sababu, alie-post hii thread ni Meale
 
hongera kamanda.....!nasubiri kadi.....!
 
duuhhh kaka umejieleza vizuri sana ...
all the best.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…