Natafuta mchumba awe anaishi Dar

Natafuta mchumba awe anaishi Dar

Hawa wengi wao wanachangamsha jukwaa, wanatafuta watu wa kuchit chat
Faida mojawapo ya kuanzisha uzi ni unapata watu wa kuchat nao muda huo

Acha tuchit chat nae upweke umtoke
Hata mi naona.
 
Subiri kwanza,mimi nitaleta uzi wa kumtafuta mkulima ili tuchanganye na zangu tuwe na heka 20,

Mimi nina heka 10 za Bamia.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ–๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Yaaah ni possible hayo yote unayo waza mtaani kuna mengi..
Kuna watu hata kusimamisha mdada ni ngumu...

Na huko kwa starehe bado hatuwezi pia
unaona baada ya kuacha mashangazi umeanza kua na akili.
 
Huwa nashangaa mtu kutafuta mke au mchumba mitandaoni nachojiuliza kuanzia kazini, mtaani,barabarani au hata sehemu za starehe kama ni muhudhuriaji wenza wanakosekana, au kuna kitu hakipo sawa?
Mazingira ndio yanaamua mke wakuwa Kama unashindana mtandaoni masaa mengi sio rahisi kupata mwanamke mtaani anayefaa
 
Jamani ndugu yangu umenichoka,huyu bado damu mbichi nitamuwezea wapi Mimi?we uwe unaniita Kwa mizee yaani wale waliochoka Figo na Moyo๐Ÿ˜
ili mwaka ndoa mwaka msiba unapata zako urithi
 
Hawa Ngedere tukiwa kwenye Financial Jam hawatu bail out,huwezi kumtegemea Girlfriend au mke ukikwama,,tujifunze kuwakazia..I'm Going Dutch
Ni sisi wachumba zenu ndio mnatuita ngedere?๐Ÿฅน๐Ÿฅน Nimelia sana
 
Umejilipua sio
SI tushakubaliana humid hakuna wanawake lakini!!?
 
Back
Top Bottom