caciest
Member
- Apr 7, 2023
- 43
- 86
Ndiyo anahitaji*Ajue thamani ya mwanaume(Mwanaume anahitaji matunzo)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo anahitaji*Ajue thamani ya mwanaume(Mwanaume anahitaji matunzo)
Mume/mke anapatikana popoteHuwa nashangaa mtu kutafuta mke au mchumba mitandaoni nachojiuliza kuanzia kazini, mtaani,barabarani au hata sehemu za starehe kama ni muhudhuriaji wenza wanakosekana, au kuna kitu hakipo sawa?
Sijaacha.... Nani kasema nimeachana na mashangazi...unaona baada ya kuacha mashangazi umeanza kua na akili.
eeeh we sasa itabid wakutambikie kwanz😂😂😂😂Sijaacha.... Nani kasema nimeachana na mashangazi...
We kuweza 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Doooh ngoja nitulie mieeeeh we sasa itabid wakutambikie kwanz😂😂😂😂
nmekushindwa aseeee 🙌🏾🙌🏾🙌🏾😂😂😂😂😂😂😂 Doooh ngoja nitulie mie
🤣🤣🤣🤣Lengo linakuwa limetimia...unadhani K-lyn si ndio alipiga hiyoili mwaka ndoa mwaka msiba unapata zako urithi
akili mingi sana🤣🤣🤣🤣Lengo linakuwa limetimia...unadhani K-lyn si ndio alipiga hiyo
Kuna kitu hakiko sawa,Huwa nashangaa mtu kutafuta mke au mchumba mitandaoni nachojiuliza kuanzia kazini, mtaani,barabarani au hata sehemu za starehe kama ni muhudhuriaji wenza wanakosekana, au kuna kitu hakipo sawa?
Sasa hawa wa mtandaoni si ndio hao wa mtaani.Mazingira ndio yanaamua mke wakuwa Kama unashindana mtandaoni masaa mengi sio rahisi kupata mwanamke mtaani anayefaa
Doh mashangazi Bado zamu yetuMimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar
Umri 20-35.
Umri wangu 32.
Asiwe slay queen.
Ajue thamani ya mwanaume
Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
Si alikuja mtu anataka mashangazi humuDoh mashangazi Bado zamu yetu
HahahahSi alikuja mtu anataka mashangazi humu
ulivyo na sura mbaya hivyo akutake nani?Doh mashangazi Bado zamu yetu
35 sasa huoni atakubemenda au 7natafuta jishangadhi lakukuleaMimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar
Umri 20-35.
Umri wangu 32.
Asiwe slay queen.
Ajue thamani ya mwanaume
Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.