Natafuta mchumba awe Bikira

acha mzaha dogo!
 
Vgezo vingine bwn et awe mweupe mara asiwe anvaa suruali jaman kwa dunia hii au nyingne?
 
unajua hizo sifa hazina umuhimu kwa sana especially hiyo bikira now days kuna bikira za kichina wandugu
 
ukimpata mwenye sifa zote hizo niambie na mie nitafute humu, sifa zinajikontradict. (Mwalimu mfanyabiashara za kusafiri; biashara za kusafiri asiyevaa suruali) LABDA!!!
 
Kwa kifupi unatafuta ''imaginary person'', yaani unaweza kumuumba hivyo kimaandishi but not ''real existence of her''
 
Chukua udongo, finyanga kisha tengeneza mfano wa huyo mwanamke umtakae, kisha jipopotoe mbavu yako moja iweke humo ndani. Pulizia huo mdoli wako ili nawenyewe upate pumzu, alafu ufunikie kwa siku saba utampata huyo umtakaye.
 
Kaka ukimpata wa hvyo nish2tue maana lazima atakuwa na rafiki zke wa aina hyo na mi nntawapa.
 
Awe bikira wa nini?????Maana ziko za aina nyingi.

Haswaa , maaana wengine wana za barazani tu, uwani hawana. wako wengine wana za uwani barazani hawana. Na wengine zooote hawana.....ss sijui anataka yupi?
 
Je shida yako ni bikra au mke mwema? Nenda pemba kama shida yko ni bikra.
 
holy crap..............
 
Hahahahah labda kama umeweka post hii kwa ajili yakujifurahisha uko sawa, tofauti na hapo ni malaika tu ndo unaweza kumpata mwny vigezo hvyo.
Mara elimu mwisho form four mara awe tayari kusoma mpaka phd mmh?!
 

Mbona umesahau kuongezea awe hapendi kuvaa chupi na pia kupenda kulala bila nguo!? Hii bikra unayoitaka ni bikra ipi? maana siku hizi ziko za aina nyingi kama vile za kichina, kizungu na hata za kiarabu pia. Kila la heri katika juhudi za kumpata mwenzi wako wa kufa na kuzikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…