barakandesambur
Member
- Jan 17, 2011
- 19
- 1
kwanza we bikira?kama bikira ndo utafute bikira mwenzio vinginevyo utapata uchina tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha mzaha dogo!Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
nenda chinautawapata waaina zote nasifa zote unazozitaka mpaka wapiganaji!..acha mzaha dogo!
Yes mimi ni bikira(kifuniko)
Chukua udongo, finyanga kisha tengeneza mfano wa huyo mwanamke umtakae, kisha jipopotoe mbavu yako moja iweke humo ndani. Pulizia huo mdoli wako ili nawenyewe upate pumzu, alafu ufunikie kwa siku saba utampata huyo umtakaye.Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazoAwe bikiraUmri: 22-28Awe Muaminifu na mcha MunguHajatoga masikioAwe mweupeAwe na Elimu inayozidi form 4Awe mwalimuAwe hapendi kuvaa surualiAwe hapendi kuvaa mawigiAwe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumbaAwe tayari kuwa locatedAwe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoanaAwe anapenda watoto waisopungua 4Awe anapenda kupikaAwe anapenda kufanya biasharaAwe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHDAwe tayari kusafiri kibiasharaHizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwaNashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
Awe bikira wa nini?????Maana ziko za aina nyingi.
holy crap..............Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe hapendi kuvaa mawigi
Awe tayari kuwa mke na mimi kuwa mume na sio mambo ya kuleta gender balance ndani ya nyumba
Awe tayari kuwa located
Awe tayari kufanya full body checkup kujua magonjwa yote aliyonayo ili tujipange na kujua aina ya Helath Insurance tutakayochukua baada ya kuoana
Awe anapenda watoto waisopungua 4
Awe anapenda kupika
Awe anapenda kufanya biashara
Awe anapenda kujiendeleza kielimu mpaka PHD
Awe tayari kusafiri kibiashara
Hizo ndio sifa zenye kipaumbele zingine zitaangaliwa
Nashukuru sana na nimatumaini yangu wana JF mtanifikishia ujumbe kama kuna right candidate
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo